The Most Viewed Videos of all Time
Welcome
Login / Register

AMAZON: BILIONEA ALIYEFANYA CORONA KAMA FURSA YA KUJIONGEZEA UTAJIRI...

Thanks! Share it with your friends!

URL

You disliked this video. Thanks for the feedback!

Sorry, only registred users can create playlists.
URL


Added by Admin in Top 10
10 Views

Description

AMAZON: BILIONEA ALIYEFANYA CORONA KAMA FURSA YA KUJIONGEZEA UTAJIRI...

Unapozungumzia matajiri wakubwa duniani, watu wenye mpunga mrefu lazima uelewe kwamba yupo kiongozi wao, ambaye yeye ndiyo bosi wa matajiri wote duniani unaowajua!

Achana na hawa matajiri uchwara wenye pesa za kubadilisha mboga na vigari viwili vitatu na kamjengo ka kizushi mjini halafu wanatamba mitaani, mimi tajiri, mimi nina pesa! Nawazungumzia watu wazito levo za kina Bill Gates, Warren Buffett, Mark Zuckerberg na wengineo.

Sasa hawa wote, kiboko yao ni Jeff Bezos, huyu ndiye mwamba ambaye katika ile top ten ya mabilionea duniani, yeye anashika namba moja, jamaa ana mkwanja mrefu asikwambie mtu na inaaminika ndiye tajiri mkubwa zaidi kuliko wote duniani kwa sasa.

Jina lake halisi anaitwa Jeffrey Preston Bezos au kwa kifupi Jeff Bezos, huyu ndiye mmiliki wa Kampuni ya Amazon, ambayo inajihusisha na biashara ya vitu mbalimbali kwa njia ya mtandao, ikiwa na makao makuu yake Seattle, Washington nchini Marekani lakini ikifanya biashara zake duniani kote.

Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
iOS:https://apple.co/38HjiCx

UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE

(+255 784 888982)

(+255 676 229628)

Email: [email protected]
[email protected]

HABARI MPYA DAILY:
http://bit.ly/habarimpya

HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua

GLOBAL RADIO TV:
http://bit.ly/255globalradio

EXCLUSIVE INTERVIEW:
http://bit.ly/exclusive_interviews

Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
http://bit.ly/exclusive_interviews

Post your comment

Comments

Be the first to comment
RSS