Haya ndio MAJENGO 10 marefu zaidi barani Afrika, Tanzania yapo matatu, Kenya mawili
Description
Jengo jipya liitwalo Leonardo na Sandton, Johannesburg nchini Afrika Kusini limechukua nafasi ya kwanza kama jengo refu zaidi barani Afrika. Kwa miaka 45 jengo la Carlton Centre la Johannesburg ndilo lilikuwa linashikilia nafasi hiyo. Yafahamu majengo mengine 9 marefu zaidi barani Afrika
Comments