TOP 30/UNITALENT SHOW GROUP A/PART 02
Description
Hii ni TOP 30 ya Mashindano ya Unitalent show/ROBO FAINALI safari ni moja wanavyuo kutoka vyuo tofauti wanashindana kwenye stage moja wakiwa na vipaji tofauti ili kuibua vipaji vipya na kukuza soko la sanaa hapa nchini
#kipajichakokiwandachako #unitalentshow #starstudent #talentsearch
Comments