TOP 50/UNITALENT SHOW GROUP B/PART 01
Description
Hii ni TOP 50 ya Mashindano ya Unitalent show safari ni moja wanavyuo kutoka vyuo tofauti wanashindana kwenye stage moja wakiwa na vipaji tofauti ili kuibua vipaji vipya na kukuza soko la sanaa hapa nchini
#kipajichakokiwandachako #unitalentshow #starstudent #talentsearch
Comments